Wednesday, November 2, 2016

DIAMOND PLATNUMZ maarufu kama "Chibu Dangote"



Mwanamuziki nguli wa kizazi kipya Diamond Platnumz mapema wiki hii ameamsha hisia za mashabiki wake kwa kuposti mjengo wake mpya ambao upo SA [South Africa]. Diamond ambaye anasifa kwa muziki wake nje na ndani ya nchi na kwa kukubalika na rika zote ameposti mjengo wake huo wenye thamani ya shilingi za kitanzania si chini ya milioni mia tatu, jambo ambalo lilizua maneno mengi miongoni mwa mashabiki wake na wasio mashabiki wake.
DIAMOND PLATNUMZ AKIONESHA BAADHI YA MAENEO YA NYUMBA YAKE.

No comments:

Post a Comment