Wednesday, November 2, 2016

WEMA SEPETU KATIKA POZI



Staa wgo movie  asiyeishiwa vituko na aliyefanikiwa kujikusanyia mashabiki lukuki nje na ndani ya bongo, almaarufu kama WEMA SEPETU. Juzikati amewashtua mashabiki zake baada ya kupost picha ikiwa na maelezo kuwa anataka kujiondoa kwenye mtandao wa kijamii wa instagram kwa madai kwamba anatukanwa na kudhalilishwa sana  na  baadhi ya watu jambo ambalo linamnyima raha kiasi cha kuamua kujiondoa katika mtandao huo wa instagram. Jambo ambalo limewashtua mashabiki zake na kumuomba kuwa asijiondoe na badala yake aendelee kuwepo  ila awapotezee tu hao wabaya wake.

No comments:

Post a Comment